Idara Ya

Kiswahili

Somo la Kiswahili ni pana na hushirikisha Insha, Isimujamii, Ufahamu, Mukhtasari, Sarufi, Matumizi ya lugha,Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi.Mwanafunzi anatakiwa kuboboea katika sehemu hizi zote ili kufuzu katika somo hili.Tunawahimiza kumudu lugha Kwa kuzungumza na kuwa na umilisi.

Ili kufanikisha haya yote.Tunaegemea kufunza kwa kutumia teknolojia ya kisasa.Madarasa yetu yote Yana projecta na tarakilishi ambayo huwezesha somo kufurahisha na huwafanya wanafunzi kuwa na azimio la kutaka kufunzwa hili somo. Pia tuna uwanja mkubwa ambapo sisi husomea nje ili kuwaleta wanafunzi katika hali halisia haswaaa tunapofunza somo la Fasihi Simulizi.Wanafunzi hushiriki kwa mijadala na pia husoma kwa makundi na kuwasilishi somo mbele ya wanafunzi wenza, kwa kufanya hivi hufanya wawe wajasiri na kuimaika katika somo.Walimu wa idara hushiriki na kujadiliana mara kwa mara kutafuta mbinu mpya za kufanikisha somo. Na kwa kufanya hivi baadhi ya wanafunzi wanabuni na kuwa gwinji katika somo hili.

Ufahamu wa masomo mengine

Wanafunzi hushiriki kwa mijadala na pia husoma kwa makundi na kuwasilishi somo mbele ya wanafunzi wenza, kwa kufanya hivi hufanya wawe wajasiri na kuimaika katika somo.Walimu wa idara hushiriki na kujadiliana mara kwa mara kutafuta mbinu mpya za kufanikisha somo.

Wajumbe wa Timu

Bi Patriciah Akaranga

Mkuu Wa Idara Ya Kiswahili

Sr. Leah Mwangi

Kiswahili

Bw. John Ombura

Kiswahili

Bw. John Akal

Kiswahili

Scroll to Top